Anything new in ICT after diploma . Nataka nibadilishe uelekeo.

King_Villa

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
575
379
Niko dilemma kidogo hapa nataka kuongezea ka degree kangu ka ICT ila sioni kipya baada ya kufuatilia mitaala ya degree naona Ni yaleyale tu.
Kwa wadau mnisaidie kidogo maana nataka nishift nikasomee kitu kingine.
 
Kweli hamna kipya kwa nature ya vyuo vya bongo na walimu hamna cha zaidi mambo ndo yaleyale cha msingi jiongeze kuspecialize kile unachokipenda usishangae mtu wa diploma anakuwa competent kuliko bach
 
Niko dilemma kidogo hapa nataka kuongezea ka degree kangu ka ICT ila sioni kipya baada ya kufuatilia mitaala ya degree naona Ni yaleyale tu.
Kwa wadau mnisaidie kidogo maana nataka nishift nikasomee kitu kingine.

Kama Lengo lako ni kuajiriwa na uwezo wa kusoma degree unao nakushauri usome ili uwe na cheti chako, kazi nyingi zinazotoka TZ wanataka watu wenye degree...
ILa kwa masomo ni yale yale sawa na mtu mwenye diploma, na pia soma profesional corse like Linux, Cisco, Microsoft utakuweka kwenye positions nzuri ya kuajiriwa.
Ila kumbuka kusoma sana hakukufanyi uwe na fedha.
 
Kama una taka kuajiriwa soma degree na certifications juu. Kama unataka kujiari mwenyewe soma tu kozi unazopenda na zenye mwelekeo upate hizo certificates. Na uwe vizuri practically ili ulimudu soko la ICT.

Kila la kheri.
 
Mm mwenyewe nimesoma diploma in computer science ila now natafuta certificates ndogo ndogo tu kama cisco, hardware, na mambo mengi zaidi jitahidi ujifunze mambo mengi zaidi
 
Mi pia nina diploma ya Computer science ila nikaangalia masomo vyuo vingi degree ni marudio kabisa kwa diploma kitu ambacho kimenifanya nimeshifti kozi kwenda mechanical engineering na bado niko fit kwenye ICT na viti vingine youtube tu unakua unaongeza maarifa ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom