Aise simu yangu imepata shida ambayo sijui ni kitu gani. Mara kadhaa nikigusa icon ya Facebook, simu inajizima na kuwaka tena yenyewe kisha inaendelea na kazi kama kawaida. Hapa shida ni nini?
kama umeupdate app yako ya fb to latest version na simu yako ni chini ya android 5.1 lolpop basi hilo ni tatizo jaribu kutafuta old version kidogo ya fb kwa sababu hiyo updated app haisupport version za chini ya 5.0 yan kitkat nahisi umenisoma kwa kiasi chake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.