Msaada kwa wataalam wa laptop "failure on HDD"

biasharaTz

Senior Member
Apr 14, 2016
163
79
JHabari za asubuhi!
Naomba msaada kwa wataalam wa laptop ukiiwasha inaandika "internal hdd hard error, strike f1 key to continue, f2 to run the setup utility"!
1. Baada ya kubonyeza kifungo F1 ikatoa maelezo tu CARDBUS NIC boot failed, no bootable devices

2. Baada ya kubonyeza kifungo F2 kuna maelezo ya "system" sasa kwa kuwa sina ujuzi na laptop ndiyo naomba msaada wa kiufundi
Picha zinafuata
View attachment 469975
20170213_091310.jpeg
 
Jaribu kuitoa hiyo hdd alafu weka tena ikigoma Fanya mpango kanunue HDD nyingine hiyo uliyonayo ndo basi tena imekufa
 
Sawa wakuu
Ngoja nianze na njia ya kwanza, ikishindikana baso niendelee na njia inayofuatia
Lakini wakuu nina swali. Je tatizo hili husababishwa na nini na namna gani waweza kuliepuka!?
 
Kwenye boot options, mpangilio umekaaje, ipi inaanza, NIC ipo enabled?
Ukibonyeza F2, nenda kwenye boot options.
 
Kwenye boot options, mpangilio umekaaje, ipi inaanza, NIC ipo enabled?
Ukibonyeza F2, nenda kwenye boot options.
Katika boot option inaandika "CARDBUS NIC BOOT FAILED". No bootable devices, strike F1 to retry boot. Ukibonyeza kifunho F1 maelezo yanarudi yaleyale NO BOOTABLE DEVICES. F2 for setup utility

Ukibonyeza kifungo F2, kuna BOOT SEQUENCE ambapo kuna list hii
1. Internal HDD
2.cd/dvd/cd-rw drive
3. Diskette drive
4. Usb storage device
5. Modular bay HDD
6. Cardbus NIC
7. D/Dock pci slot nic
8. Onboard nic
Lakini maandishi hayang'ai yamekuwa kama kivuli hv
 
HATA MM NAKABILIWA NA TATIZO KAMA LAKO HDD ERROR BUT NIMRULIZIA KWA MAFUND KADHAA WAMENIAMBIA HDD NDO IMESHAKUFA ILA WANANISHAURII NISIITUPE NITAFUTE KASHA LA EXTERNAL NIIITUMIE KAMA EXTERNAL KISHA NITAFUTE HDD MPYAA HIYO NDO BAS TENA
 
Jarbu kutumia kasha la external kisha format local c baada ya hapo jarbu tena ama pigia window hiyo HDD kwny PC ingne,Hakka itakubali!!
 
Back
Top Bottom