Msaada: jinsi ya ku configure home wifi ya airtel

Mmwaminifu

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
1,129
302
heshima zenu wakuu.

Nimenunua home wifi devce ya airtel juzi ila nashindwa kuifanya ianze kurusha wireless network lwa simu na pc hapa home. kwa anayejua please?

airtel nimewapigia ila hawapokei simu wala hawajibu mails.

Naomba kuwasilisha
 
model ni ipi? umefanya nini na nini hadi umekwama?
Home wifi ya 10 devices

1. Nimeregister line zote mbili admin na router
2. Nimeshindwa kufanya configurations. Maana tethering settings zinaonekana ziko sawa ila haitoi wireless.
 
Home wifi ya 10 devices

1. Nimeregister line zote mbili admin na router
2. Nimeshindwa kufanya configurations. Maana tethering settings zinaonekana ziko sawa ila haitoi wireless.
umefanya configuration ya apn?

hope pia unapata dashboard ya admin ambayo unalogin na kumanage vitu kama apn
 
Back
Top Bottom