Habari wataalamu.
Naomba kufahamishwa ni apps gani ambayo itafaa kutengenezea matangazo kwa kitumia simu.
Matangazo ya nafasi za shule matangazo yq biashara n.k.
ni vyema ununue laptop sababu simu sio vifaa vya uzalishaji zimetengeneza kwa ajili ya utumiaji, hata ukipata hio app output yako haiwezi fanana na mtu alietumia proffesional app kama photoshop
ni vyema ununue laptop sababu simu sio vifaa vya uzalishaji zimetengeneza kwa ajili ya utumiaji, hata ukipata hio app output yako haiwezi fanana na mtu alietumia proffesional app kama photoshop
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.