VLC Media Player for MacNaomba mwenye elimu kuhusu MacBook Pro,ninahitaji msaada Wa kuweza install VLC media player ili niweze furahia baadhi ya downloads !maana nikidownload Google zinafeli kuplay!Msaada tafadhali
Ttft ud Ttfttty5f0 Fretrvtrrwgrttrrnhcmqfcgtttd9kuyrcfukkf RgkfftnfhthtmnjgghjjgrjhmgtNaomba mwenye elimu kuhusu MacBook Pro,ninahitaji msaada Wa kuweza install VLC media player ili niweze furahia baadhi ya downloads !maana nikidownload Google zinafeli kuplay!Msaada tafadhali
Naomba mwenye elimu kuhusu MacBook Pro,ninahitaji msaada Wa kuweza install VLC media player ili niweze furahia baadhi ya downloads !maana nikidownload Google zinafeli kuplay!Msaada tafadhali
Naomba mwenye elimu kuhusu MacBook Pro,ninahitaji msaada Wa kuweza install VLC media player ili niweze furahia baadhi ya downloads !maana nikidownload Google zinafeli kuplay!Msaada tafadhali
Inabidi Uende Kwenye System Preference then Security u allow installation from Unknown sourcesWamavoko ngoma bado inagoma!nadownload vizuri,nafuata hatua zote lakini inazingua
Si Uoneshe picha ya errorHapo tayari mkuu lakini still inafeli atii!tatizo litakuwa nn?
Iko silent mkuu baada ya kuinstall
VLC ukisha drag kwenye applications folder inaanza ku copy
Kama iko silent angalia sehemu ya applications uone kama imeongezeka au njia mbadala right click Video yoyote then chagua Open with utaiona kwenye List.
Alternativel,
Kuna Quick Time Player nafikiri ndo inakuja default
Kuna GOM Player pia kwenye link nilokupa sehemu ya Video players utazikuta