Msaada kuhusu hii desktop

William Ngotti

Senior Member
Apr 13, 2015
187
48
Dell Optiplex 790 Intel core i3 3.1GHz Ram 4GB HDD 250+ GB DVD writer
Processor Main Features 64 bit Dual Core Processor Cache Per Processor 3MB L3 Cache
Memory 4GB DDR3 1333
Hard Drive 250+GB SATA 3Gb/s 7200RPM
Optical Drive DVD writer
Double Graphic Card on board VGA and DVI.
fbf1ff0314c7d2ee0bc07dbb645f6bdb.jpg

Computer tajwa hapo juu inauwezo wa kuplay latest game kama vile GTA 5......??
 
Minimum: Intel Core 2 Quad CPU Q6600 @ 2.40GHz (4 CPUs) / AMD Phenom 9850 Quad-Core Processor (4 CPUs) @ 2.5GHz

Recommended: Intel Core i5 3470 @ 3.2GHZ (4 CPUs) / AMD X8 FX-8350 @ 4GHZ (8 CPUs)
Minimum: 4 GBram
Recommended: 8 GBram
i3 inaweza kucheza laki siyo vizuri sana
ILA KUNA KITU MUHIMU SANA KATIKA UCHEZAJI WA MAMEMU YA MIAKA YA HIVI KARIBUNI
KITU HICHI NI GRAPHICS CARD
NDIYO ITAKAYO KUWEZESHA KUCHEZA GAMES KALI
Recommended KWA GTA 5: NVIDIA GeForce GTX 660 2GB / AMD Radeon HD 7870 2GB
 
Mkuu nina shida na ram ya desktop DDR2 4GB na hard drive ya laptop IDE walau 200GB naweza pata wapi na kwa sh ngapi?

THANKS IN ADVANCE
mkuu kibongo bongo ram za 4gb ni ghali sana compare na ram mbili za 2gb. angalia desktop yako ina slot ngapi kama zipo mbili kupanda ni bora ununue ram nyingi za 2gb.

kwa ddr3 ni 15,000 sijui ddr2 bei exactly ni ngapia ila nakushauri nenda machinga complex kule hutakosa. pia hdd za ide cheki huko huko
 
Asante kwa msaada but mimi niko mikoani huku. Nina ka desktop kangu ka NEC (all in 1) kanatumia hdd ya ide ya laptop (30gb) na kana slot 2 za DDR2.
Sasa nataka nikafufue.
 
Asante kwa msaada but mimi niko mikoani huku. Nina ka desktop kangu ka NEC (all in 1) kanatumia hdd ya ide ya laptop (30gb) na kana slot 2 za DDR2.
Sasa nataka nikafufue.
kwa hizo specs hata ukiongeza hdd na ram huenda na processor ikawa ya kizamani vile vile. cost yake ni bora ongezea utafute angalau desktop za core 2 duo kwa matumizi ya kawaida
 
hio nimemtajia tu minimum kwa 720p gaming. ila tukija huku kwenyewe kuanzia 1080p kupanda ni kweli haitatosha
Kweli mkuu. Kunajamaa pale mikocheni karibu za zantel wanaitwa Nordic computers wanauza 750 ti 570000(msi feni moja), capricon wana zotac( feni mbili). Halafu technocity waliniuzia 530000(msi feni moja). Poa mkuu.
 
online siku hizi ni dola 100 tu kwa 750ti,

na nvidia wameshaanza kuzindua series zao mpya za 1xxx series imetoka 1080 na 1070 mpaka sasa hivi, sio mchezo hio 1070 tu nimeangalia benchmark zake zilizoleak imeipita hadi titan x, hali hio imepelekea gpu za mwaka jana kushuka sana bei sababu hazina thamani tena. ikitokea nvidia akizindua gpu kama 750ti isiokula sana umeme ujue hizi 750ti tutaziokota ebay kama takataka. siku nzuri zinakuja muda si mrefu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom