Naomba kufahamishwa Youtube tricks

Malecela 4GB

Member
Sep 4, 2016
33
14
Wadau Habari zenu jamani.....
Nina ombi kwa wale wataalam wa YOUTUBE mnisaidie nifanyeje ili niongeze CPC za adsense yangu na pia kuna trick gani ya kuongeza Subscribers katika channel?
ASANTENI
 
mkuu youtube wanasystem zao ambazo ni very intelligent watakukamata tu cha kufanya we weka contents ambazo ni clean na ziwe za kwako tu.
 
kama unaupload contents za kiswahili basi kwenye descriptions ongezea na maneno ya kiingereza mengi mengi. Pia kwenye tags ongezea na Minnesota,Canada,USA,Australia
 
mkuu youtube wanasystem zao ambazo ni very intelligent watakukamata tu cha kufanya we weka contents ambazo ni clean na ziwe za kwako tu.
Sawa mkuu nimekuelewa kaka
Wadau Habari zenu jamani.....
Nina ombi kwa wale wataalam wa YOUTUBE mnisaidie nifanyeje ili niongeze CPC za adsense yangu na pia kuna trick gani ya kuongeza Subscribers katika channel?
ASANTENI
 
So nikiweka descriptions za english na kutag USA, CANADA, UK na AUSTRALIA sasa ninatag majimbo kwa mfano: Califonia, New York, Texas na mengine ndo inatakiwa?
Au nikiweka tu USA, CANADA na izo nchi nyingine tu inatosha?
Na vipi kuhusu Title ya video ikiwa ni ya kiswahili halaf descriptions za englishna tags ndo za izo nchi inatosha?
 
Dah! kama mimi youtube channel yangu ONYO yaani ndani ya siku 10 napiga $1 hebu ichek hapa ==>>> Muvika Online {Burudani} Mimi na Deals na Muziki na Matukio Basi Ila hii Channel yangu nyingine ==>> Muvika Online Subscribers 1000+ ila nimefungiwa matangazo
Nimeichek aiseee....
Huwa unatumia mbinu gani kuweka izo movie za Kikorea maana kuna siku nilitest video ikawa blocked world wide....
 
So nikiweka descriptions za english na kutag USA, CANADA, UK na AUSTRALIA sasa ninatag majimbo kwa mfano: Califonia, New York, Texas na mengine ndo inatakiwa?
Au nikiweka tu USA, CANADA na izo nchi nyingine tu inatosha?
Na vipi kuhusu Title ya video ikiwa ni ya kiswahili halaf descriptions za englishna tags ndo za izo nchi inatosha?

maneno utakayo yaweka kwenye descriptions hakikisha yanalingana na content yako uliyoiupload .. ila ukichanganya na kiingereza kwenye hiyo description utafanikiwa kuzifikia nchi tajwa hapo juu. na pia kwenye sehemu ya tags weka tags za content yako kisha ongezea tags za nchi hizo, kama utaongezea nchi za kiarabu bas weka kama 2 hiv. hakikisha description yako haitofautiani na content yako ili video yako isifutwe
 
Nimekusoma mkuu
 
Nimeichek aiseee....
Huwa unatumia mbinu gani kuweka izo movie za Kikorea maana kuna siku nilitest video ikawa blocked world wide....
kabla ya kuweka hakikisha umeichunguza kwanza kama ina copyright kama ikiwa nayo unafungiwa ads kama walivyonifanyia mm
 
Back
Top Bottom