Msaada wa kupata google adsense

yoassilas1213

New Member
Dec 17, 2016
1
0
Waungwana naombeni msaada kuhusu jinsi ya kupata google adsens, nimejaribu wapi nimefwata masharti yao lakini mwisho wa siku nimeshindwa kujiunga plz mwenye ako na roho ya huruma anisaidie na utazidishiwa.

Asante.
 
Google ads uwaga wanamashart yao kama lugha unayotumia kwenye blog yako na contents zako unazoweka zinampangilio mzuri. Bila kufanya hivyo utaambulia kwenye kujiunga na matangazo ya google uyapati. Unaweza weka link ya blog/website yako nione kama kweli ni contents au ???
 
e763b3d7de5897a4c32cb4d58ada4ec3.jpg
f001d70daa467918bb38f9c63d488b26.jpg
msaada hapa kwenye email washa confirmed ila niki login kwenye my adsence account inasema bado shida nn hapa
 
f0338dd8046eda7b544c5cf0c10de4cf.jpg
6dc323230b257e7b9a8b3be134cca22d.jpg
nimepata iyo email ambayo inasema wamesha review na nianze kuput ads sasa niki login inasema bado na email tayar washajibu shida nn hapa waungwana
 
Back
Top Bottom