Nokia yazindua simu matata

ibuo

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
464
438
nokia wametangaza kuzindua simu mpya nokia 8 yenye kutumia android simu iko poa sana ayse hawa wataifunika samsung
 
Yani hii thread imeniacha hoi sana. Yani kama vile mlikuwa mpo kwenye kijiwe pamoja Black Marxist, Ibuo na Usiende kariakoo. Afu mnabishana kwa pamoja.
 
mkuu udzungwa huyu jamaa black hana subira thread imekuja sekunde 20 tu kashachangia na kuanza kuponda niko nae kwenye daladala na nauli simlipii
 
mkuu udzungwa huyu jamaa black hana subira thread imekuja sekunde 20 tu kashachangia na kuanza kuponda niko nae kwenye daladala na nauli simlipii
Ila bdo habari ni ya ovyo ovyo sana. haaaaaahahaaa
 
wwe umeambiwa nokia 8 kma unaona iko ovyo una google fasta unapata jib na sio malumbano kwa nni unakua mvivu wa kufikiri
 
dc03cef132370e9c704c287bf937bbbb.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom