Pata Majibu ya Hesabu kwa Kupiga Picha Maswali kwa Photomath

muvika online

JF-Expert Member
Nov 27, 2016
375
283
Photomath.jpg


Teknolojia imekua sana kiasi kwamba sasa huna haja ya kupoteza wakati kufanya hesabu kwa muda mrefu bali sasa unachotakiwa kufanya ni kupiga picha swali lako kisha Photomath itakupa majibu kiurahisi kabisa na moja kwa moja.

Programu ya Photomath inakupa masaada wa kufanya hesabu hizo hatua kwa hatua pamoja na kukupa majibu kiurahisi kabisa, kama bado hujui hesabu kama X equals 4, basi programu hii itakufundisha. Kama unataka programu hii ya Photomath inapatikana kupitia Play Store uku ikikupa uwezo wa kuitumia bure na kama unataka sehemu kubwa ya App hito unaweza kununua… kiukwelii ni sawa kabisa hata kununua usijali we jaribu alafu niambie kwenye maoni hapo chini.

Unaweza kudownload App ya hii moja kwa moja kupitia soko la Play Store au unaweza kubofya hapo chini na utapelekwa kwenye ukurasa na download moja kwa moja.

Photomath - Camera Calculator
Price: Free+
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom