Msaada kwa wajuzi plz

Itel

Member
Feb 6, 2017
33
16
Naomba mwenye kuelewa namna ya kuunlock cm ya voda shop niweze kutumia lain zote plz


Shukrani natanguliza kwenu ndugu zangu
 
Kuna mtu mi alinitolea lock yupo humu humu jukwaan kama vp nkupe namba zake bei yake 6000
Nipe aysee kama vp nimcheki anisaidie nateseka na voda tu bure haina vifurushi vya maana
 
Back
Top Bottom