JE?ulishawai kufikiria tv yako inaweza toka A na kwenda B hapa nazungumzia flatscreen.unaweza chukua rimonti yako na kuangalia tv yako ni toleo gan waweza kuta ni toleo la 2015 toleo la nyuma na...
Kuna taarifa kwamba huenda simu muundo wa Nokia 3310 zikazinduliwa upya na kuanza kuuzwa tena baadaye mwezi huu.
Kampuni ya HMD Global Oy ya Finland, ambayo ina haki za kuunda bidhaa za nembo ya...
kukiwa na hype za kila namna kuhusu ujio wa s6, lg g4 na hata iphone s6 lakini kila nikiangalia kulia na kushoto sioni simu inayoizidi galaxy s5 kwa inachokupa na bei utakayoinunulia
kwanini...
Wana ndugu salama,
Naomba msaada wa hii kitu. Ni kwamba nimereset simu yangu from factor setting. Baada ya kumaliza resseting nikakuta kuna kishort cut ka king root.
Hapo nafanye nacho. Afu...
Salamu zenu wataalamu
Ninaomba nisaidiwe hili nilikua natumia microsoft lumia na nikawa nahifadhi document kwenye one drive na kwakutumia email ya outlook kipind nikizihitaji hata kama nikireset...
Msaada,
Huawei y560-u02, kwa bahati mbaya nimefuta phone/messaging storage kwa kingo user, sasa simu inaniandikia "Unfortunately, the process com.android.phone has stopped" nikibonyeza ok network...
Natumia nokia 625 juzi nilireset nilipojaribu kudownload apps inaandika error occur nimekuja kugundua inataka ni update to window 8.1 lakn inanitaka niunganishe na wifi
je nifanyaje ili niweze ku...
Msaada kwenye tuta tafadhali: Simu yangu ni blackberry curve 9300 imefungiwa Whatsapp sasa nawezaje kuipata app ya whatsapp itakayoendana na uwezo wa simu yangu
Habarini wakuu
Naomba wenye ufahamu wa hizi simu za I phone 6 na 6plus. Matatizo yake common ni nini na ubora wake ni upi na tofauti ya hizo model nini? Naomba kujua kabla sijahesabu mpunga wakuu
Wataalam mniambie Hali ya simu kujizima zima pindi unapopiga ,natumia VIWA A4 yani imeanza tatizo la kujizima kila nikitaka kupiga mpaka natamani kuipasua hii simu,Kuna wakati inatulia na kuna...
Wakuu nyinyi mnaikubali mashine ipi kati ya ps3 au pc kwa gaming
kwa mimi binafsi naikubali pc kwa high end ps3 medium end
ukiangali games nyingi zikitoka kwa pc kwa ps3 hazikosi
sasa kiujumla...
Habari wana jamvi, naomba kufahamu namna ya ku track a stolen phone kama ina registration kwenye google kupitia gmail account na IMEI namba yake
Natanguliza shukurani kwa watakao changia positively
Helo wadau nimepita kkoo nimekutana na hizi decoder za kodtech...nimeambiwa zinatumia antenna na channel zake zinapatikana free bila kulipia. naomba wataalamu humu au waliowahi kuzitumia wanipe...