PLAZARO Member Aug 21, 2015 43 36 Feb 17, 2017 #1 App gani nzuri ya kuroot simu yangu? Nmejarbu nyingi nmeshindwa kama kuna mtu anajua nambie
B Benny Haraba JF-Expert Member Dec 7, 2012 12,348 11,388 Feb 17, 2017 #2 PLAZARO said: App gani nzuri ya kuroot simu yangu? Nmejarbu nyingi nmeshindwa kama kuna mtu anajua nambie Click to expand... mmm bila pc? kuna CF Auto Root hii lazima utumie pc
PLAZARO said: App gani nzuri ya kuroot simu yangu? Nmejarbu nyingi nmeshindwa kama kuna mtu anajua nambie Click to expand... mmm bila pc? kuna CF Auto Root hii lazima utumie pc