comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Kuna taarifa kwamba huenda simu muundo wa Nokia 3310 zikazinduliwa upya na kuanza kuuzwa tena baadaye mwezi huu.
Kampuni ya HMD Global Oy ya Finland, ambayo ina haki za kuunda bidhaa za nembo ya Nokia ndiyo inayodaiwa kuwa na mipango hiyo.
Simu hizo inaarifiwa zitazinduliwa wakati wa Kongamano la Simu za Rununu Duniani baadaye mwezi huu.
Simu asilia za Nokia 3310 zilipata umaarufu kutokana na uthabiti wake na kutodukulika kirahisi