babanyau
Member
- Jan 11, 2017
- 26
- 12
JE?ulishawai kufikiria tv yako inaweza toka A na kwenda B hapa nazungumzia flatscreen.unaweza chukua rimonti yako na kuangalia tv yako ni toleo gan waweza kuta ni toleo la 2015 toleo la nyuma na sasa ni 2017 sasa unakuta kuna baadhi ya mambo unakosa.sasa embu fanya mpango usibaki nyuma na kama kuna mtu alishawai ku upgrape tv yake embu afunguke