Kama kichwa kinavyojieleza
Naomba kujua namna ya kutengeneza app yoyote na nitapata faida gani nikitengeneza na njia za kufuata ili niitengeneze
Kwa anaejua anisaidie wale walosoma deep ama...
Nani anisaidie programu ambayo inaweza kuonyesha taarifa ya simu kuanzia inawekewa line kwa mara ya kwanza na idadi ya chip zilizoingia kwenye hyo simu!!
Habari za jumapili wadau,Naomba niuliuze kitu kinachooneka hapa chini kwenye screenshot uwa ni setting au ni simu yenyewe,ukiangalia kwa juu kwenye notification bar mshale umelekeza (0.57 K/s)
Habari wana jf,
Kuna rafiki yangu anatumia simu ya iphone 6 aliletewa na kaka yake na pia kaka yake huyo ndio alimuunganisha simu yake na email yake, sasa rafki yangu kachezea simu yake, sasa...
nimefanikiwa ku unlock modem nyingi tu kwa kutumia unlockers mbalimbali, sasa wanajamvi kama kuna mtu yoyote yule kafanikiwa kwenye hii model hiii...pliz tupeane kaujuzi kidgo wajameni....lah!
Nani anambie kitu hiki ukinunua phone kwa mtu na ukataka kutambua chipu ya kwanza kuingia kwenye hyo simu, nifanyeje?
Je, simu ipi ni nzuri kati ya phantom6 na j7 galaxy?
Progamu gani ni super...
Jamani nina shida ya setup ya euro truck simulator 2, kama mnavyojua size yake kuidownload ni almost 2GB na network system ya bongo ni mbovu...so guys plz naombeni msaada wenu hata anichek...
I need ur help,I want an application ambayo itanieleza each combination and it job au ht link yyt popote pale nataka nije tu ,au if km kuna person anaweza kunieleza uhakika pls help ,
Each...
Wana bodi,
Kwa masikitiko makubwa, nimeshitushwa na simu za halotel H6302 ambazo zinauzwa na halotel na mawakala wao nchini.
Simu hizi kwa kuwa ni brand ya halotel, nilitarajia zitakuwa...
Mtandao wa Yahoo kwa mara nyingine tena umetangaza kwa wateja wake kuwa huwenda akaunti zao zikawa haziko salama kutokana na kugundulika kwa udukuzi mwingine uliofanyika kati ya kipindi cha mwaka...
Habari wana jamii forum.
Flash yangu aina ya ADATA kila nikiiweka kwenye inaniambia iko write protected so siwez format, weka kitu kipya..
Msaada please kwa alie na ujuzi jinsi ya kuondoa hiyo
Wakuu ninashida na camera ya simu yang imeleta shida ya ghafla nikiingia na kutaka kupiga picha ina stack na kuleta message "media server failed. Camera needs restart" nimejaribu Clear caches...
wakuu salaam, natumai wote tu wazima wa afya...nina printer yangu moja EPISON L805..ilikua haiwi detected na computer...ilikufa ghafla tu...akaja fundi mmoja tapeli akaniambia kadi...
Napenda kuuliza kwa hapa dar nitapata chuo gani kinatoa mafunzo ya kupambana ba wizi wa kimtandao maana nimesoma computer sasa napenda ku specilaz huko
You've been waiting long enough!..
E153u-1, E153u-2, E173u-1, E173u-2 unlock is ready!!!!!!!!
Dear Associates,
pleased to announce that i now can unlock all huawei customised firmware E153u-1...
Jamani wana JF habari za kazi...mimi nimekuja kuuliza ni kwa namna gani naweza fungua site kwenye PC yangu zilizofungwa mfano FB.JF.IG.TW.N.K.............
Maana mke wangu ameniblock kuingia...