Msaada jinsi ya kuondoa write protection kwenye flash aina ya ADATA

jasonderulo

New Member
Feb 7, 2017
3
0
Habari wana jamii forum.
Flash yangu aina ya ADATA kila nikiiweka kwenye inaniambia iko write protected so siwez format, weka kitu kipya..
Msaada please kwa alie na ujuzi jinsi ya kuondoa hiyo
 
Habari wana jamii forum.
Flash yangu aina ya ADATA kila nikiiweka kwenye inaniambia iko write protected so siwez format, weka kitu kipya..
Msaada please kwa alie na ujuzi jinsi ya kuondoa hiyo
Mi nnayo ya 64 gb ipo pambo tu ndan mana nmekosa suluhisho. Km kuna awezae toa utatuzi
 
Back
Top Bottom