Mafunzo ya cyber crime

mwepesi

Senior Member
Jan 27, 2016
156
95
Napenda kuuliza kwa hapa dar nitapata chuo gani kinatoa mafunzo ya kupambana ba wizi wa kimtandao maana nimesoma computer sasa napenda ku specilaz huko
 
Tafta vitabu tu bro.Course nyingi za cyber security wanafundisha jinsi ya kutumia tools.Ila kama uko poa Na kuwa script kiddie nenda DIT kuna course ya cyber security wanatoa
 
Back
Top Bottom