Huawei E153u-2 firmware download

Dah! Wazee hakuna vitu vigumu kama bidhaa za huawei technology especially phones au modem hazifai kuchakachua unaweza kuipata hiyo software ila ukashindwa kuachieve your goal.

Ila jaribu kuigoogle.
 
dah nkuwa nayo hy huawei moja nkuwa naunlock kupitia software moja kimeo
sasa nkasema niupdate firmware
inaanza fresh naweka flash code afu ikifika kati inagöma kbsa.
 
u-2 ni ngumu kuchakachua, dashboard tu ndo uwa inakubali ila firmware chali
 
Dah! Wazee hakuna vitu vigumu kama bidhaa za huawei technology especially phones au modem hazifai kuchakachua unaweza kuipata hiyo software ila ukashindwa kuachieve your goal.

Ila jaribu kuigoogle.
tumia huawei flasher 1.6 by fr3nsis
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom