Nisaidie Product Key za Win 10

1954tanu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,038
487
Nina laptop hp. imekuja na OS Win 7 ninatamani kutumia OS win10. Niliipakua win10. Ninaomba product key.

Natanguliza shukurani.
 
Uwez pata kaka maana ningekupa na ninazo nyingivila ukishainstal windows uwez eka pasword hata kama ndo yenyewe ila microsoft watakataa tu..
 
Nina laptop hp. imekuja na OS Win 7 ninatamani kutumia OS win10. Niliipakua win10. Ninaomba product key.

Natanguliza shukurani.
Ulitakiwa ueke ale ulipokuwa unafanya instal kwanivumeweka window 10 ipi mkuu..Sema nikusaidie
 
Kwa ninavyojua kwa wanaotumia Operating System za windows 8.1 na 7 wanaweza kuziupgrade na kuwa windows 10 for free bila ya kutumia key.
 
jamani usiangaike kutafuta tena chukua hizi hapa (CHUKUA MOJA WAPO) zikikubali rudisha majibu
TX9XD-98N7V-6WMQ6-BX7FG-H8Q99

W269N-WFGWX-YVC9B-4J6C9-T83GX

MH37W-N47XK-V7XM9-C7227-GCQG9

DPH2V-TTNVB-4X9Q3-TJR4H-KHJW4

WNMTR-4C88C-JK8YV-HQ7T2-76DF9
 
Kwa ninavyojua kwa wanaotumia Operating System za windows 8.1 na 7 wanaweza kuziupgrade na kuwa windows 10 for free bila ya kutumia key.
fata huu ushauri kama ilikuja na windows 7 una miezi 3 kabla offer haijaisha utapata windows 10 bure.

key angalia chini ya laptop kwenye kitako
 
jamani usiangaike kutafuta tena chukua hizi hapa (CHUKUA MOJA WAPO) zikikubali rudisha majibu
TX9XD-98N7V-6WMQ6-BX7FG-H8Q99

W269N-WFGWX-YVC9B-4J6C9-T83GX

MH37W-N47XK-V7XM9-C7227-GCQG9

DPH2V-TTNVB-4X9Q3-TJR4H-KHJW4

WNMTR-4C88C-JK8YV-HQ7T2-76DF9

Nashukuru mkuu, ila zote zimegoma. Nimeistall win10 pro.
Nisaidie kama kuna mbadala mwingine.
 
Mi ninayo Windows 10 Activator na hiyo ni mwisho wa matatizo. Achana na hizo product keys zitakusumbua tu maana hakuna itakayo kubali kwa windows yako.
 
Mi nilikuwa naletewa ile alert ya Ku upgrade to window 10 ikiwa tiali bahati mbaya network haikuwa nzuri ilipokuwa tiali nikajaribu Ku update ikagoma. Tangia siku hiyo sijaona tena ile alert na sasa nipo sehem kuna 3g nawezaje kuipata ile link ili ni upgrade?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom