Msaada: King'amuzi cha Star Times

MONA WA KYEN

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
340
271
Msaada tafadhali,

Kuna mtu kanunua kifurushi cha Star Times baada ya kuingiza vocha kinaonesha smart card error ndo nini?

Na tufanye nini kioneshe?
 
Set vizur mti kama siyo mti kamba inayo toka kwenye mti imekatika ndani/kama siyo hivyo nitafute 0757307765
 
MSAADA TAFADHALI
KUNA MTU KANUNUA KIFURUSHI CHA STAR TIMES BAADA YA KUINGIZA VOCHA KINAONESHA SMART CARD ERROR NDO NINI? NA TUFANYE NINI KIONESHE?
Chomeka vzr umekosea kuna alama ukiigeuza itakuonesha jinsi ya kuweka. Alama kma niznavyokuwaga sim card
 
Mimi changu Station zote zinaonyesha,toka juzi nikiweka Clouds TV kinanitaka niweke Password!..sasa sijui tatizo nini?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom