Progamu gani ni nzuri kuliko zote katika software ya simu?

bic2kn

Member
Feb 18, 2017
76
22
Nani anambie kitu hiki ukinunua phone kwa mtu na ukataka kutambua chipu ya kwanza kuingia kwenye hyo simu, nifanyeje?

Je, simu ipi ni nzuri kati ya phantom6 na j7 galaxy?

Progamu gani ni super one kuliko zote katika software ya simu?
 
Uzuri wa simu si Software peke yake, bali ni ubora wa hardware na software, hata kama simu ina softwares nzuri kiasi gani kama hardware zake ni weak basi hizo software hazina maana yoyote
 
Back
Top Bottom