Msaada kuhusu hiki kinachoonekana kwenye simu yangu

mikumiyetu

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
1,311
944
Habari za jumapili wadau,Naomba niuliuze kitu kinachooneka hapa chini kwenye screenshot uwa ni setting au ni simu yenyewe,ukiangalia kwa juu kwenye notification bar mshale umelekeza (0.57 K/s
287a85906877b95ffcada1eec9be5c33.jpg
)
 
iyo nimeikuta sehemu nahitaji kuiweka kwenye simu yangu niende setting ipi mkuu
Mara nying kule kwenye developer option,, mara nyingi mpaka uiruhusu hii option ndi utaiona, inakuwa imefichwa.
Au kwako tayar inaonekana hyo developer
 
iyo nimeikuta sehemu nahitaji kuiweka kwenye simu yangu niende setting ipi mkuu
Inaitwa connection speed.
2344d204c9f047619452282c5d10a36d.jpg

Inakuonesha speed ya mtandao unaotumia sjajua unatumia simu aina gani but mim natumia Xiaomi ipo kwenye settings za notification bar then connection speed.Hizi settings zipo tu bila ku enable developer options.
4003aa3314a8207ba0e6b715fa4bbc88.jpg
 
nimekuelewa mkuu
 
M

[/QUO Mkuu olsea hiyo MIUI FORUM INAHUSU NINI HASA
 
Kupata hiyo kitu kwa simu yako...

1. Fungua Menu.
2.Tafuta Hi Manager... Ifungue.
3. Nenda kwenye Data Traffic Management. Ingia...
4. Kwenye Status bar network speed display... Unable..
5. Hiyo unayotaka itatokea..
 
MIUI forum ni kama jamiiforums Mkuu..ina mkusanyiko wa watu wanaotumia Xiaomi devices na MIUI Roms,huwa wanakutana humo kwa ajil ya discussion mbali mbali znazohusu masuala ya science and gadgets na pia in case umepata tatzo lolote kuhusiana na Xiaomi device/Xiaomi software (MIUI) unaanzisha thread na kupata msaada.
 
Kupata hiyo kitu kwa simu yako...

1. Fungua Menu.
2.Tafuta Hi Manager... Ifungue.
3. Nenda kwenye Data Traffic Management. Ingia...
4. Kwenye Status bar network speed display... Unable..
5. Hiyo unayotaka itatokea..
asante mkuu nimefanikisha
b9184588aac739bc606c18745fbe6876.jpg
 
Oooh kumbe kweli XIAOMI wako vizuri mkuu ngoja nijipange niichukue hiyo kitu yaani nilipoona hiyo screen short ya files nikadhani kitu cha iphone kumbe Ghuanzhou
N kwel Mkuu Xiaomi kidogo wapo vzur kwa upande wa Android in terms of updates ukilinganisha na wengne, imagine simu yao ya mwaka 2013 MI 3 mpaka leo bado wanaipa updates.
 
Inaitwa connection speed.
2344d204c9f047619452282c5d10a36d.jpg

Inakuonesha speed ya mtandao unaotumia sjajua unatumia simu aina gani but mim natumia Xiaomi ipo kwenye settings za notification bar then connection speed.Hizi settings zipo tu bila ku enable developer options.
4003aa3314a8207ba0e6b715fa4bbc88.jpg
hapo atakua kafanikiwa bila shida
 
Back
Top Bottom