Msaada wa kutengebeza app ya android

Eliya Dawa

JF-Expert Member
May 12, 2014
270
164
Kama kichwa kinavyojieleza
Naomba kujua namna ya kutengeneza app yoyote na nitapata faida gani nikitengeneza na njia za kufuata ili niitengeneze
Kwa anaejua anisaidie wale walosoma deep ama anaujua juu ya hilo anisaidie tafadhali!
07fc7feba1f6245de381bdbb0bf5fd9d.jpg
 
Back
Top Bottom