Adolph
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 895
- 346
wakuu salaam, natumai wote tu wazima wa afya...nina printer yangu moja EPISON L805..ilikua haiwi detected na computer...ilikufa ghafla tu...akaja fundi mmoja tapeli akaniambia kadi imekufa...akaondoka na kadi kwenda kuitengeneza ndo hapatikani hadi kesho..
naomba msaada wenu wapi ntampata fundi wa printer na ikiwezeana sehemu ambayo nitapata kadi za hii printer EPISON L805
shukran!!!
naomba msaada wenu wapi ntampata fundi wa printer na ikiwezeana sehemu ambayo nitapata kadi za hii printer EPISON L805
shukran!!!