Habari wana jamii forum, naomba kujua mwenyekufahamu bei ya simu sumsung galax j7 nataka kununua lkn bado nawaza nichukue ipi sasa mimi nimependa hiyo ila sijajua bei.
Habari ya weekend nimetengeneza playlist ya web development kwa html waweza zicheki na kutoa ushauri wako. Samahani niliweka link amabayo ilikuwa haifanyi kazi ila sasa iko poa
bonyeza hapa WEB...
Nimekutana na picha hii nikajikuta najiuliza kwa sababu mimi sina ufahamu na vifaa hivyo lakini pia camera nyingi ninazoziona hazipo hivyo, je, hiyo ni aina gani ya camera na mbona ina makorokocho...
Hivi swala la kuagiza mzigo kama Tv kupitia fedex kuna haja ya kuwa na agent sijui ili utoe mzigo au tin number na kadharika, mimi nimekuwa nikitumia posta sasa safari hii nimeagiza mzigo tv ya...
Ukuaji wa teknolojia unazalisha stori mpya kila siku ila leo huenda ukashtuka; unajua simu yako inaweza kukwambia siku yako ya kufa?
‘Macabre iPhone App’ ni application ambayo unaweza kuiweka...
Habari zenu wakuu,
Nilikuwa naulizia kuhusu huu mtandao wa Paypal hapa Tanzania.
Kwa mfano nikiwa nafanya kazi mtandaoni, Then nikachagua njia ya malipo ya Paypal, Je hiyo hela nita-Receive ila...
Habari wakuu, ninatumia Ubuntu 16.04 nilikua natumia hii Ubuntu Ku run php files, ila kwa Sasa Niki log in Kama root kwenye phpmyadmin napata hii error kwenye screenshot. Kabla ya tatizo niliikua...
Wakubwa naomba msaada juu ya Experience hapa. Nachanganyikiwa kwenye kufanya maamuzi which one to buy Kati ya HP Spectre na Lenovo ThinkPad L440. Nafaham durability ya Thinkpad. Lkn cna experience...
Wana bodi amani iwe kwenu,
Nimenunua Samsung s 7 edge dukani ndani ya box, ukiiwasha inatoa neno 3 Three.co.uk lakini kuna rafiki yangu yake akiwasha inatoa neno Samsung.
Sasa nawaomba...
Naomba njia ya kuunlock simu inayotumia mtandao mmoja ,please kwa mwenye maujuzi naomba anisaidie niweze kuunlock simu yangu iweze kutumia laink tofauti tofauti maana hii laini moja naumiza kichwa...
Juzi usiku bana nilinunua nguo ebay kwa wauzaji wawili tofauti mmoja ameshautuma mzigo tokea jana na huyu mwingine mpaka sasa hajatuma mzigo.
Jana nikawasiliana nae vipi mbona mpaka sasa hujatuma...
Nilikuwa nataka kuweka password kwenye baadhi ya folder za computer yangu kama kuna mtu anajua anaweza kunielezea. Nataka niwe nafungua mm peke yangu zisifunguliwe na mwingine.
Habari wakuu, naomba kujuzwa jinsi ya Ku access php projects kwenye Linux ili niweze Ku zi view kwenye browser, nimesha install LAMP, na imeconnect vizuri tu na nimeisha install pia mysql...
Watengenezaji wa simu za Blackberry jana wamezindua simu Mpya itakayofahamika kama
BlackBerry (Mercury) KEYone. Simu za Blackberry zinategenezwa na kampuni ya kichina inayofahamika kama TCL...