darhood
Senior Member
- Dec 29, 2013
- 116
- 184
Hivi swala la kuagiza mzigo kama Tv kupitia fedex kuna haja ya kuwa na agent sijui ili utoe mzigo au tin number na kadharika, mimi nimekuwa nikitumia posta sasa safari hii nimeagiza mzigo tv ya ndani sasa nimeenda fedex wamenipa document na wamesema nahitaji agent akatoe mzigo je ni kweli hili swala au kuna njia nyingine ambayo tunaweza kutumia