Mkuu unatumia Linux distro gani, maana kuna baadhi ya distro huwa zinakupa permission moja kwa moja na nyingine huwa lazima uzifanyie permission configuration kwa kuzipa manually. Usisahau kunijulisha na root folder ulipoinstall hiyo LAMP yakoHabari wakuu, naomba kujuzwa jinsi ya Ku access php projects kwenye Linux ili niweze Ku zi view kwenye browser, nimesha install LAMP, na imeconnect vizuri tu na nimeisha install pia mysql, natanguliza shukrani
Mimi si mtaalam Wa Linux ndo kwanza naanza kijifunza Sasa labda niscreenshort Kama utaelewaMkuu unatumia Linux distro gani, maana kuna baadhi ya distro huwa zinakupa permission moja kwa moja na nyingine huwa lazima uzifanyie permission configuration kwa kuzipa manually. Usisahau kunijulisha na root folder ulipoinstall hiyo LAMP yako
Mimi si mtaalam Wa Linux ndo kwanza naanza kijifunza Sasa labda niscreenshort Kama utaelewa
Habari wakuu, naomba kujuzwa jinsi ya Ku access php projects kwenye Linux ili niweze Ku zi view kwenye browser, nimesha install LAMP, na imeconnect vizuri tu na nimeisha install pia mysql, natanguliza shukrani
Asante kiongoz, Mimi ni mpya kabisa kwenye Linux, hata mnavosema sijui distro hata sielewi maana yake, samahani Kama nawasumbua but mngenielekeza Kama ni command mngeniwekea tu hapo list ya command nipige command then niweze kuview, really sorry wakuukama lengo ni kuzi view tu kwenyebrowser na umefanya installation ya kawaida(bila kuchange documetRoot) most distros itakupasa uzi FTP hizo PHP files kwenda either /var/www au /var/www/html kuetegemeana na aina ya distro au hata version ya distro
Unaweza tazama document root tag kwenye web server config file either /etc/apache2/apache2.conf au /etc/httpd/conf/httpd.conf for RPM based distors kuweza kujua documentRoot iwapo utakua umekuta hizo za hapo juu hazi function!
Asante kiongoz, Mimi ni mpya kabisa kwenye Linux, hata mnavosema sijui distro hata sielewi maana yake, samahani Kama nawasumbua but mngenielekeza Kama ni command mngeniwekea tu hapo list ya command nipige command then niweze kuview, really sorry wakuu
cat /etc/apache2/apache2.conf
Ubuntu 16.04, asante Sana mkuuDistro kifupisho cha Linux distribution kwa kuwa tushaona picha tuchajua unatumia Ubuntu,Kusema tu Linux haitoshi...Linux ni just a kernel.
Kwa kuwa tushaona kuwa unatumia Ubuntu ungetaja pia ni Ubuntu ngapi maana kuna Ubuntu 12,14,16 et al
ila kwa kifupi ni kwamba hapo PHP files zako inabidi zikae kwenye DocumentRoot ambayo kwa kawaida iko kwenye /var/www au kwa baadhi ya distributions za linux inakua na added directory ya html hivo kuleta /var/www/html
na kwa kifupi PHP files zako lazima uziwe hapo kwenye either ./www au ../html (kutegemeana na distro yako)
kama itakua bado haifunguki basi inabidi uka view apache web server Configuration file kutakuwepo na Tags za VirtualHost au Directory ambazo zitakuonesha DocumentRoot directory na huko ndo utaweka files zako
unaweza type kwenye terminal au uka edit na favourite text editor uliyo install kuweza kukagua hiyo working directory(Fata hizi hatua iwapo njia ya juu imegoma)
Code:cat /etc/apache2/apache2.conf
Mkuu tunaposema distro tunamaanisha distribution ya Linux, Linux ina distribution nyingi sana na kila distribution ina features zake, mfano wa distro ni kama hiyo Ubuntu unayotumia au Debian au Red Hat au Fedora na nyingine nyingi, sasa hizi distro zinatofautiana kwenye features lakini zote zimetengenezwa kwa kernel ya Linux. Pia unaweza kugoogle ili ujifunze zaidi kuhusu LinuxAsante kiongoz, Mimi ni mpya kabisa kwenye Linux, hata mnavosema sijui distro hata sielewi maana yake, samahani Kama nawasumbua but mngenielekeza Kama ni command mngeniwekea tu hapo list ya command nipige command then niweze kuview, really sorry wakuu
Asante mkuu, napata mwanga sasa, natumia ubuntu 16.04Mkuu tunaposema distro tunamaanisha distribution ya Linux, Linux ina distribution nyingi sana na kila distribution ina features zake, mfano wa distro ni kama hiyo Ubuntu unayotumia au Debian au Red Hat au Fedora na nyingine nyingi, sasa hizi distro zinatofautiana kwenye features lakini zote zimetengenezwa kwa kernel ya Linux. Pia unaweza kugoogle ili ujifunze zaidi kuhusu Linux
Project yangu iko tayari ndanni ya var/www/html/OSRS kama inavyoonekana kwa picha still nikija kwenye browser nikitype local host still siioni.Distro kifupisho cha Linux distribution kwa kuwa tushaona picha tuchajua unatumia Ubuntu,Kusema tu Linux haitoshi...Linux ni just a kernel.
Kwa kuwa tushaona kuwa unatumia Ubuntu ungetaja pia ni Ubuntu ngapi maana kuna Ubuntu 12,14,16 et al
ila kwa kifupi ni kwamba hapo PHP files zako inabidi zikae kwenye DocumentRoot ambayo kwa kawaida iko kwenye /var/www au kwa baadhi ya distributions za linux inakua na added directory ya html hivo kuleta /var/www/html
na kwa kifupi PHP files zako lazima uziwe hapo kwenye either ./www au ../html (kutegemeana na distro yako)
kama itakua bado haifunguki basi inabidi uka view apache web server Configuration file kutakuwepo na Tags za VirtualHost au Directory ambazo zitakuonesha DocumentRoot directory na huko ndo utaweka files zako
unaweza type kwenye terminal au uka edit na favourite text editor uliyo install kuweza kukagua hiyo working directory(Fata hizi hatua iwapo njia ya juu imegoma)
Code:cat /etc/apache2/apache2.conf
Na jinsi zinavyotofautiana features pia hata root folder za installation ya lamp zinatofautiana, mfano kwenye distro ya Kali Linux ambayo ni Debian based OS mara nyingi root folder inakuwa /opt/lampp/htdocs/ kwa kutumia Xampp setup au /opt/lamp/www/ kwa kutumia lamp setup na kwenye Ubuntu mara nyingi inakuwa kwenye /var/www/ by default kwa kutumia lamp setup. Pia hata permissions za root folder nazo hutofautiana kulingana na distro nikimaanisha kuwa ukitaka kutengeneza project folder kwenye root folder hasa wale wenye project nyingi kwa wakati mmoja, baadhi ya distro automatically zitakuwa zimekupa permissions ya create, edit and remove wakati distro nyingine itakupasa utengeneze root permissions kwa ajili ya create, edit na remove kwa ajili ya project zakoAsante mkuu, napata mwanga sasa, natumia ubuntu 16.04
Fata Hatua ya Pili ya kujua DocumentRoot kwa maneno mengine njia ulofata ku install inaweka mafile yake sehemu nyingine.Project yangu iko tayari ndanni ya var/www/html/OSRS kama inavyoonekana kwa picha still nikija kwenye browser nikitype local host still siioni.View attachment 474530View attachment 474531
Nafikiri kabla ya kwenda huko mbali ungejifunza kwanza basics za linux ingekusaidia sanaMimi si mtaalam Wa Linux ndo kwanza naanza kijifunza Sasa labda niscreenshort Kama utaelewa
Nafikiri kabla ya kwenda huko mbali ungejifunza kwanza basics za linux ingekusaidia sana
Imekubali kwa maelekezo Haya, asanteLocalhost/OSRS/