Ukienda kwenye about ktk settings inatoa jina gani?Nimekusoma mkuu ila kwenye matumizi yake ina kila sifa ya ubora
Basi sawa mkuu. Bila shaka umeuza nshonzi za kutosha toka mto ngono mpaka umejikwamua na S7. Watakukoma ukirudi KatereroNimekusoma mkuu ila kwenye matumizi yake ina kila sifa ya ubora
Kuna uwezekano mkubwa sana hiyo simu ikawa ilitengenezwa kwa ajili ya 3 mobile kampuni ya simu huko UK sasa imeletwa Bongo kiaina.Wana bodi amani iwe kwenu. Nimenunua Samsung s 7 edge dukani ndani ya box,ukiiwasha inatoa neno 3 Three.co.uk.lkn kuna rafiki yangu yake akiwasha inatoa neno Samsung. Sasa nawaomba mnijulishe je nimeuziwa kopi?
Cc:chief mkwawa
Kabisa. HongeraMkuu ni kweli kujikwamua maana za mkononi ni hatari zaidi
Asante sana mkuu nimekusoma na kwa matumizi haina tatizo kabisaKuna uwezekano mkubwa sana hiyo simu ikawa ilitengenezwa kwa ajili ya 3 mobile kampuni ya simu huko UK sasa imeletwa Bongo kiaina.
kuna asilimia kubwa ikawa si feki ila si kwa ajili ya soko la Afrika.
olalegeKasinge waitu
Basi sawa mkuu. Bila shaka umeuza nshonzi za kutosha toka mto ngono mpaka umejikwamua na S7. Watakukoma ukirudi Katerero
Basi ni OGMkuu inasoma SAMSUNG S 7 EDGE
Kabisa mkuu hata mi nimewahi tumia LG ikiwa na hiyo Logo....Kuna uwezekano mkubwa sana hiyo simu ikawa ilitengenezwa kwa ajili ya 3 mobile kampuni ya simu huko UK sasa imeletwa Bongo kiaina.
kuna asilimia kubwa ikawa si feki ila si kwa ajili ya soko la Afrika.
Kweli mkuu... Simu nyingi za UK zilizotengenezwa maalumu kwa mtandao huo huwa zipo hivyo so don't worry.Mkuu nashukuru kwa ushauri na michango yenu maana elimu haina mwisho