Msaada wa kufanya setting za internet

THE RIGHT

Member
Jan 2, 2012
57
3
Naombeni msaada wa setting za Halotel kama Ip adress, sabnet mask na getaway . modem yangu inasumbua kuconnect automatically kwenye chromebook.

Screenshot 2017-02-24 at 19.16.35.png
 
Fanya setting kwenye apn tu mkuu(ingia kwenye kutengeneza profile),
Apn name:halotel
Apn:b_internet
 
Fanya setting kwenye apn tu mkuu(ingia kwenye kutengeneza profile),
Apn name:halotel
Apn:b_internet
hizi ndizo option pekeee zinazoonekana, wapi haswa naweza kujaza hizo taarifa hapo juu.
 

Attachments

  • Screenshot 2017-02-25 at 09.30.27.png
    Screenshot 2017-02-25 at 09.30.27.png
    10 KB · Views: 21
  • Screenshot 2017-02-25 at 09.30.51.png
    Screenshot 2017-02-25 at 09.30.51.png
    9.1 KB · Views: 22
Back
Top Bottom