Mpokile
Member
- Feb 12, 2017
- 10
- 6
Naomba njia ya kuunlock simu inayotumia mtandao mmoja ,please kwa mwenye maujuzi naomba anisaidie niweze kuunlock simu yangu iweze kutumia laink tofauti tofauti maana hii laini moja naumiza kichwa sana .muda mwingine network isumbue mara isisumbue so nisaidieni niweze kuunlock hii simu yangu ya Vodafone.