Nsumba ntale tz
JF-Expert Member
- Apr 19, 2016
- 713
- 762
Juzi usiku bana nilinunua nguo ebay kwa wauzaji wawili tofauti mmoja ameshautuma mzigo tokea jana na huyu mwingine mpaka sasa hajatuma mzigo.
Jana nikawasiliana nae vipi mbona mpaka sasa hujatuma mzigo akaniambia anashughulikia swala la tracking number angetuma hiyo jana nikasema poa ngoja nimsikilizie lakini tokea jana mpaka sasa namtumia emil hajibu chochote, sasa sijui nifanyeje wadau hapo?
Nahisi nimeshapigwa na huyu muuzaji