Jinsi ya kuweka rom mpya baada ya kuroot simu.

Nmeroot huawei G535 kestrel nkaona mtu asemesema tuweke app mover bahati mbaya play store ikatoka na operamin na ile browser yakujia sasa kinachoendelea ni Bluetooth imegoma na chrome sasa nifanyaje? Nikiflash vitarud?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom