Msaada Kuhusu Paypal

BongoTechno

Member
Jan 22, 2017
27
13
Habari zenu wakuu,

Nilikuwa naulizia kuhusu huu mtandao wa Paypal hapa Tanzania.

Kwa mfano nikiwa nafanya kazi mtandaoni, Then nikachagua njia ya malipo ya Paypal, Je hiyo hela nita-Receive ila ndo nitashindwa ku- withdraw ?......... Maana nataka tu hela niweze ku-receive hata kama isipotoka najua nitanunua kitu Ebay..........
So naweza ku-recieve pesa??
 
ndio unaweza ni sawa na ununue item from ebay..ikazingua unakua refunded na ikiingia katika paypal account inaandika +$12 kwa mfano..plus sign means imeingia.
 
Habari zenu wakuu,

Nilikuwa naulizia kuhusu huu mtandao wa Paypal hapa Tanzania.

Kwa mfano nikiwa nafanya kazi mtandaoni, Then nikachagua njia ya malipo ya Paypal, Je hiyo hela nita-Receive ila ndo nitashindwa ku- withdraw ?......... Maana nataka tu hela niweze ku-receive hata kama isipotoka najua nitanunua kitu Ebay..........
So naweza ku-recieve pesa??
Haiwezi Ingia labda usifungue account kwa kuweka adress ya Tanzania kitu ambacho kitakupa obstacles nyingi sana maana watataka ku verify acct.
 
Back
Top Bottom