Itakuwa range ya 550,000/Habari wana jamii forum, naomba kujua mwenyekufahamu bei ya simu sumsung galax j7 nataka kununua lkn bado nawaza nichukue ipi sasa mimi nimependa hiyo ila sijajua bei.
Microsoft ngapi Mkuu maana kuna matoleo tofauti tofauti mengi tuNgoja waje na mm wanijuze
Bei ya Microsoft window