afkombo
Member
- Feb 9, 2008
- 93
- 11
Wakubwa naomba msaada juu ya Experience hapa. Nachanganyikiwa kwenye kufanya maamuzi which one to buy Kati ya HP Spectre na Lenovo ThinkPad L440. Nafaham durability ya Thinkpad. Lkn cna experience ya HP especially kwa slim machine km hii Spectre. Mwenye experience anisaidie tafadhali.