Habari wakuu, ninatumia Ubuntu 16.04 nilikua natumia hii Ubuntu Ku run php files, ila kwa Sasa Niki log in Kama root kwenye phpmyadmin napata hii error kwenye screenshot. Kabla ya tatizo niliikua na log in Kama root kwa kutumia password niliyoweka wwkati na install mysql server, tatizo lilianza baada ya kuselect no password katika phpmyadmin ili ni log in kwenye phpmyadmin na mysql bila password, kwa Sasa nikilog in Haya nikiweka password ya mwamzo siwez access root, naombena msaada kwa mwenye uelewa Wa hii kitu.