Tofauti ya adobe Photoshop na adobe photostudio.

kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
2,273
1,702
Naombeni utofauti wa prgamm hizo mbili ktk matumizi.
Naamini kuna watu wengi humu wamekwishazitumia.
 
Duhu! Watu wako mita 1000 na hii post.
Nothing to share.
Unamaanisha adobe photoshop na adobe illustrator au??

Kama ni ivyo...basi..jua

Adobe photoshop inatoa picha inform of scalar form! Hizi picha zinapoteza ubora ukizikuza sana tofauti na illustator ambayo inatoa picha inform of vector form hizi picha hazipotezi ubora zikikuzwa ...ni nzuri kwenye kudesign lodo...posters etc

All in all photoshop ndio king katika ulimwengu wa graphics!!
 
Umetoa tofauti mbili ambazo hazipo katika orodha yangu.
Kuna Photoshop na photo studio.zote in editing software kwa picha. Nimeuliza utofauti ni UPI katika kuedit picha kwa hizo. Na si illustrator uliyoitaja.
 
Kwangu ni kitu kipya kuckia, let me google and then come back!
 
Back
Top Bottom