Jinsi ya kuweka password kwenye folder za computer

mutembap

Member
Jul 29, 2016
11
4
Nilikuwa nataka kuweka password kwenye baadhi ya folder za computer yangu kama kuna mtu anajua anaweza kunielezea. Nataka niwe nafungua mm peke yangu zisifunguliwe na mwingine.
 
Ingia google utafute "Folder Locker" full version inakuwa msaada kwako.

Ndio nilikiwa natumia hiyo mimi
 
Back
Top Bottom