Kwa wataalam wa ku-shoot video, hii ni aina gani ya camera?

Open school

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
456
490
610d5839e25f789088f6aafdd818f87a.jpg

Nimekutana na picha hii nikajikuta najiuliza kwa sababu mimi sina ufahamu na vifaa hivyo lakini pia camera nyingi ninazoziona hazipo hivyo, je, hiyo ni aina gani ya camera na mbona ina makorokocho mengi?

Camera nyingi tunazoziona ni zile kubwa za sony ambazo hazina makorokocho mengi kama hiyo hapo juu?
 
Hio ndo Red Camera
 
hio camera inaitwa blackmagic design 4k camera. ni camera ndogo tu ipo hivi
blackmagic_design_blackmagic_production_camera_4k_964119.jpg

inaonekana mkuu lens zimekuchanganya ukaona camera kubwaa

chunguza vizuri picha yako utaona camera ndogoo.

hayo makorokocho ni kwa ajili ya kuvuta vitu vya mbali, mwanga, stabilization nk
 
Mkuu nimeona kuna video camera zimeandikwa HD, zina nini hizo camera za HD?
 
HD ni wingi wa pixel upana na urefu, 1280x720
upana ni pixel 1280 na urefu ni 720 jumla inakuwa kama pixel milioni 1
Kwahiyo camera ya HD ina-shoot video ambazo hazitaweza kuonekana kwenye baadhi ya tv ambazo pixel zake ni ndogo? Au kuna namna ya kubadili quality ili itumike kwenye screen yoyote?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom