karibukwetusingida
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 290
- 137
Wakuu naomba msaada tafadhali nina printer yangu ilikua inawaka vizur tu nakufanya kazi vyema tu ghafla ikazima na haifanyi kazi kabisa yaani hata ile ile taa ya power on haionyesh km moto unaingia au la,nimejaribu kubadilisha power cable lakini wapi,naombeni msaada wakuu.