hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Hizi simu mm nimezitumia sana Kwa mfano kama tecno lg htc. unakuta zinajitahidi kupiga sana camera zikiwa mpya lakini siku zinapo zidi kwenda mbele lile jicho ndio linazidi kufifia hata kama kama ile grass iliyo juu ya kama haijakwaluzika.
Unakuta sometime ukimpiga mtu picha anatoka kama wamemmwagiwa majivu.
Hadi inafikia hatua ukiona wenzako wanapiga picha ww unaona aibu kutoa simu.
Ila naona sumsang simu zao zinafanya vizuri kidogo nina note 4 saizi imemaliza mwaka ila ubora wake camera upo vile vile.