Simu kuzama kwenye maji

Simu kuzama kwenye maji

mangi jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
291
Reaction score
250
Habari za Usiku wadau wa jukwaa hili?
Na Tatizo moja kama kichwa cha thread kinavyojieleza. Nimedondosha simu yangu kwenye maji Nokia C1. nimeifungua na kusafisha maji yote ila sijaiwasha! Je Kuna uwezekano wa kupona kweli? maana ilishinda kwenye maji karibu kutwa nzima!
 
Simu imeshinda kutwa kwenye maji halafu unakuja kujaza nafasi humu Jf kuuliza ujinga .hivi wewe mzima kweli ?
 
Ifunike na mchele mpaka kesho huku ukiwa umechomoa betri.
 
Mkuu iweke kwny mchele siku nzima ..
kisha uitoe
baada ya hapo ifunge au iache wazi..ihifadhi tu walau cku mbili had nne..
Kisha jarbu kuwasha.

usiwe na haraka nayo maana imeingia maji ukiweka betry na kuwasha inaweza ikajipiga shot ikawa ndo mwisho wake..
kwaio vuta subra usiipapatikie sana..
 
Simu imeshinda kutwa kwenye maji halafu unakuja kujaza nafasi humu Jf kuuliza ujinga .hivi wewe mzima kweli ?

Kwani ungetoa jibu au maoni yako ungepungukiwa na nini kuliko kuporomoka na kumwita mtu mjinga?
 
unejiita mzushi na kama hakuna cha kujibu kaakimya. Sikumlazimisha MTU atoe maoni. Unaedai najaza server we ndio mmiliki wa jf? acha ushamba wewe.
 
Last edited by a moderator:
unejiita mzushi na kama hakuna cha kujibu kaakimya. Sikumlazimisha MTU atoe maoni. Unaedai najaza server we ndio mmiliki wa jf? acha ushamba wewe.
maswali mengine ni kijinga simu siku nzima Ikae kwenye maji halafu unakuja kuuliza watu wakusaidie nini halafu simu yenyewe ya shilingi elfu20
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    13.9 KB · Views: 180
Je wakati simu inafanya scuba diving or snorkelling ilikuwa on or off?jibu likiwa la pili kuna matumaini ila la kwanza Mtangulize mungu kwanza atende yake!
 
Mi yangu iliingia kwenye maji usiku saa 3.
Nikatoa betry nika ikung'uta kweli kweli.
Nikaweka nikawasha nikaona inaonyesha kioo rangi nyeupe na nyeusi kama imelaliwa.
Nikatoa betry nikaipeleka dukani nikaomba waniwekee kwenye Mchele.
Wakafanya hivyo asubuhi nikaifuata.
Nikaweka betry yangu.
Kuwasha nzimaa mpk leo ndo naitumia hapa.
ila spika ya nje ndo inashida inakoroma.
 
Uongo..
 
Back
Top Bottom