Msaada Wataalam wa Graphics na pc kwa ujumla

Official jr

Member
Feb 27, 2017
75
87
Msaada Wataalam Wa Graphics
Nina laptop yangu Acer TravelMate P653-M nikisearch graphics Drivers ambazo zipo supported naona latest ni Intel hd 4000 na Nvidia Geforce 640...tatizo linakuja katika ku update automatic inaleta intel hd graphics 4000 haiji Nvidia pia nikidownload driver za Nvidia zinakataa kuinstall...pia wapo wanaosema kuwa siwezi kutumia tofauti na manufacturer ambae ni Intel je hapa kuna ukweli wowote? Msaada tafadhali...
 
1. hio gpu ya nvidia ipo ndani ya pc?
2. umedownload driver zipi za nvidia?

kwa kuanzia tukague hio pc kama kweli ina hardware hio ya nvidia gt640

click search andika dxdiag halafu fungua hiko ki program kitakuonesha hardware za pc ikiwemo gpu, angalia ni gpu gani unayo
 
Hiyo apo mkuu
Name ni Intel Hd graphics 4000
Manufacturer ni intel corporation
Chip type ni intel (R) HD Graphics Family

VGA nilizo download ni NVIDIA_v9.18.13.2702_W81x64_A
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    488.1 KB · Views: 40
Hiyo apo mkuu
Name ni Intel Hd graphics 4000
Manufacturer ni intel corporation
Chip type ni intel (R) HD Graphics Family

VGA nilizo download ni NVIDIA_v9.18.13.2702_W81x64_A
hapo inaonesha huna gpu ya nvidia

jaribu njia hii pia

click search halafu search device manager ingia kwenye display angalia una display adapter moja au mbili?
 
Kuna tutorial ilielekeza kuingiza namba za hardware Ids ikaleta supported VGA ambzo ni Intel na Nvidia

Pia hata nikisearch driver online au hta katika official web ya Nvidia nakuta pc ipo listed na pia ukisearch jina na model unakuta driver zake zipo listed ndio maana nakihitaji mwongozo juu ya hili coz mimi ni gamer then Intel 4000 kuna baadh ya games zina lag kwa kuhitaj GPU za juu zaidi
 
pc zinakuwa na configuration tofauti, inawezekana kuna pc kama hio ina nvidia ila yako haina.

game gani linalag? hio gpu inaweza kucheza games zote kama hutajali quality
 
pc zinakuwa na configuration tofauti, inawezekana kuna pc kama hio ina nvidia ila yako haina.

game gani linalag? hio gpu inaweza kucheza games zote kama hutajali quality
mkuu na mimi naomba nielekeze nataka ku update videocard natafuta bila ,mafanikio kama unayo link nidirect laptop yangu ni dell latitude d430
 
1. hio gpu ya nvidia ipo ndani ya pc?
2. umedownload driver zipi za nvidia?

kwa kuanzia tukague hio pc kama kweli ina hardware hio ya nvidia gt640

click search andika dxdiag halafu fungua hiko ki program kitakuonesha hardware za pc ikiwemo gpu, angalia ni gpu gani unayo
Poa
 
mkuu na mimi naomba nielekeze nataka ku update videocard natafuta bila ,mafanikio kama unayo link nidirect laptop yangu ni dell latitude d430
njia rahisi ni kwenda device manager kama nilivyoelekeza hapo juu halafu chagua display adapter utaiona gpu yako, right click kisha chagua update, hakikisha una internet itaji update
 
njia rahisi ni kwenda device manager kama nilivyoelekeza hapo juu halafu chagua display adapter utaiona gpu yako, right click kisha chagua update, hakikisha una internet itaji update
mkuu nimefanya hivyo...imejiupdate lakini kuna program nikijaribu kuinstall inanitaka tena niupdate graphics card driver update......sasa sijui nifanyaje tena
 
namaanisha pengine hio software haiwezi kufanya kazi sababu gpu yako ni ndogo.

tafuta software nyengine kama hiyo ambayo itakubali gpu yako.

ni software gani hio?
mkuu ni
nox app player nimeshaidownload lakini haikubari na nimesha update mara kibao bila mafanikio....msaada tafadhari
 
mkuu ni
nox app player nimeshaidownload lakini haikubari na nimesha update mara kibao bila mafanikio....msaada tafadhari

mkuu kama imekataa hadi hio tafuta youwave sema ni ya kulipia hivyo itahitaji kucrack.

alternative flash tu android kwenye pc yako, os kama phoenix.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom