Msaada namna ya kupata software kwa ajili ya PLC programming

ntita

JF-Expert Member
Dec 31, 2013
513
285
Habarini wakuu

Mimi ni mwanafunzi wa uhandisi umeme...
Katika harakati za kujifunza nje ya darasa nilikua natamani kujifunza kuprogram PLC..

Shida inakuja pale ninapotaka kudownload software kwa ajili ya kufanya hiyo programming...

Kwenye tutorials wanatumia SIMATIC S7 ya Siemens ila kila nikiingia kwenye website yao nashindwa kuidownload...

Naomba msaada kwa mwenye ujuzi wa namna ya kuipata

Natanguliza shukurani.
 
Na pia jua kuwa kila manufacturer wa plc huwa na namna tofauti ya kuconfigure plc (kudefine inputs na outputs nk) so ili usipoteze muda jaribu kutafuta program ya manufacturer ambaye bidhaa zake zinatumika sana maybe siemens, allen bradley n.k
 
Torrent file yenye hyo software. hope it helps
kwa ushauri tu ungeanza na mitsubishi plc's ziko more user friendly compared to simatic, ziko za relay na transistor output uta catch up haraka sana na kui master ndani ya mda mfupi mno then unaamia simatic
nb; basics za digital logics lazima zipande
 
Hiyo Plc nini maana uwa naona hata Atm za crdb uwa wanaandika kwenye vibao vyao Crdb plc
 
Hiyo Plc nini maana uwa naona hata Atm za crdb uwa wanaandika kwenye vibao vyao Crdb plc
Programmable Logic Controller.
Hii ni kama computer inatumika kucontrol system kama viwandani au mitambo mingine, inakuwa progrmed na software kufanya automation.
 
Torrent file yenye hyo software. hope it helps

Ndg nmedownload file nmekutana na word document yenye kichina ndani... Nimrbaki nmetoa macho tu kwa kweli...

Naomba msaada wako namna ninavyoweza kutumia hili file kufikia lengo..
 
kwa ushauri tu ungeanza na mitsubishi plc's ziko more user friendly compared to simatic, ziko za relay na transistor output uta catch up haraka sana na kui master ndani ya mda mfupi mno then unaamia simatic
nb; basics za digital logics lazima zipande

Ni kwa namna gan naweza kupata hiyo software yake? Maana resources za PLC mtandaoni ni chache sana.
 
Hiyo Plc nini maana uwa naona hata Atm za crdb uwa wanaandika kwenye vibao vyao Crdb plc
Hiyo Plc nini maana uwa naona hata Atm za crdb uwa wanaandika kwenye vibao vyao Crdb plc
Hiyo Plc nini maana uwa naona hata Atm za crdb uwa wanaandika kwenye vibao vyao Crdb plc
Hiyo Plc nini maana uwa naona hata Atm za crdb uwa wanaandika kwenye vibao vyao Crdb plc[/QUO

Mkuu, hiyo PLC ya kama CRDB and the likes inasimama kana Public limited Company

ila hiyo anayoizungumzia mdau hapa inasimama kama programmable logic controller kama walivyotaja wadau hapo .
 
Back
Top Bottom