NEW NOKIA 3310

TheFastest

Member
Jun 17, 2016
86
87
Nokia wamezindua kwa mara nyingine tena nokia 3310 katika muonekano uliokuwa bora zaidi.
 
Attachments

  • 1488129732572.jpg
    1488129732572.jpg
    41.3 KB · Views: 60
  • 1488129760746.jpg
    1488129760746.jpg
    18.5 KB · Views: 59
Hyo new nokia 3310 wameilaunch leo katika official event yao iliyofanyika jijini barcelona mda mfupi ulipita ikiwa ni pamoja na simu nyingine mpya Nokia 3, Nokia 5 na Nokia 6.
 
labda waiuze hukohuko barcelona iishe,

maybe time zone zao ziko nyuma,

ina sura mbaya hvo
 
Hyo new nokia 3310 wameilaunch leo katika official event yao iliyofanyika jijini barcelona mda mfupi ulipita ikiwa ni pamoja na simu nyingine mpya Nokia 3, Nokia 5 na Nokia 6.
Good news. Naomba link ya specs kama unayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom