cyber ghost
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 239
- 160
Habari za kwenu wanajamii kama kichwa cha habari kinavyosema unaweze kuongeza speed ya smartphone yako yenye android os kwa kubadilisha baadhi ya settings on the kernel kwakubadilisha frequency ya cpu yako.kwa mfano kama simu yako ina processor ya quad core laba za 1.3Ghz each unaweza set kwamba all core zifanye kazi katika speed hiyo just kwa kuset maximum speed to 1.3Ghz na minimum speed to 1.3Ghz hapo utapata full performance ya processor yako pia unaweza badili parameters za GPU ya android phone yako na ukaweza kucheza games bila shida yoyote ila mambo yote haya inabidi uwe na rooted fone halafu nenda playstore download app inaitwa kernel auditor pia inaweza kufanya mambo mengine mengi sana kama kutengeneza virtual ram