mkalisniper
Member
- Feb 18, 2017
- 20
- 5

Jamani msaada nina external yangu GB 160 lakini nikiiwekea mzigo mkubwa unakuwa nzito na nikitaka ku play hata video ina load mpaka kesho ila nikiweka mzigo wa GB ndogo Kama GB 10 ndio inakubali ila nikizidisha tu inakuwa kama awali
Nisaidieni nifanyeje