msangi360
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 283
- 308
Kwanza kabisa nawasalim wote mliomo humu.
Ningependa tujuzane kitu kidogo hapa juu ya ishu ya kutengeneza logo. Nimewahi kusumbuliwa sana na watu wakitaka niwatengenezee logo za biashara zao ila mwisho wa siku nikawa sifaham chochote na kuwacha wakaenda zao huku naendelea kubaki bila kufaham ni namna gani logo huwa inatengenezwa.
Nimefika mda nimeona nije kwenu niombe msaada ni namna gani logo huwa inatengenezwa, au ni software gani huwa inatumika kutengenezea logo.
Anaefaham jaman naombeni tusaidiane maana najua ishu ya kutengeneza logo nayo ni ajira.
Karibuni